NISEME nini ili ujue kamanakupenda? Nifanye nini ili utambue kama nakupenda?Nikuite jina gani ili ujue uko peke yako moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niaminimpenz!
Imeandikwa na Anthony Yose {Tarehe} 2013-05-15 09:59
KUUMIZANA KWENYE MAPENZI SIVIZURI
upendo wa sasa ni wa uongo mtupu mwanamke anapenda ela hana upendo na mwanaume anapenda penzi hana upendo
wanaume wanataka mapenzi shida yao inaisha watu sasa ivi awana upendo wa kweli
tuwe na upendo km zamani
tukiwa tunasoma sms hizi tujajifunza mengi san,
ujumbe ni mzuri kama mnapenda ila mapenzi yasasa achana nayo
Chamsingi tuwe na mapenzi kama zamani
Ujumbe mzuri mwite jina zuri
Healthy Man Amoxicillin For Parrot <a href=http://cheapciali.com>order cialis online</a> Vardenafil Cheap Generika Cialis Bestellen Amoxicillin Tight Throat
SMS HIZI ZINAFUNDISHA SANAA ONGEREN
Naitwa DENIS napatkana nz0vw mbey natafta malafik wakike kuanzia 18 adi 22 plz usizid ap0
Nimejifunz mamb mengi san