Teya Salat
Misemo"This is the most joyful day that ever I saw in my pilgrimage on earth."
MAIN MENU
GESTBOOK
Love meter
COPY AND PASTE LOVE MESSAGE

LOVE MESSAGE:

KWA hakika nzi hufia kwenye kidonda, shujaa hufia vitani, siku zote mtalii hufia mbugani, mwenye mapenzi ya dhati si ajabu kufia kwa ampendaye, nimekufa kwako MPENZI

Rudi mwanzo
Maoni ya wasomaji kuhusu SMS iliyopo hapo juu.
[2013-09-16 06:31] Dorcas :

Sms ni nzuri sana

[2016-02-06 04:05] Josefp Mangasini :

Ninzuri Sana

[2013-10-07 10:58] Alfredy Matembo :

mimi kama kijana ambaye nazipenda sana sms za mapenzi, kwa kweli sms hii ni noma sio utani na ninazidi kuwaambia kwamba, mzidi kuongeza zingine ili sisi tuzd kufurah zaidiii! au!

[2014-01-02 10:44] SIDE :

ni nzur na imenpatia mpenz

[2014-01-31 15:11] shamim :

nimeikubali ni nzuri

[2014-02-13 15:29] Nickson filipatal :

nimeipenda kwakweli hongera kwa mtuzi wa sms

[2014-02-15 09:33] Pipiefu :

SMS NI NZULI SANAAA

[2014-03-13 11:00] Pirmini Sulley :

Hii Sms Ni Nzuri Kupita Kiasi

[2014-04-17 04:28] Dulla :

Ni Sms Nzuri kupita maelezo Endeleza Burudani

[2014-05-02 10:09] samwel sosi :

sms hz n nzur xana

[2014-05-11 09:31] abduli :

ninzuli sana

[2014-05-16 21:59] FAG BOY :

Nimeipenda kiukweli maana hata ukim2mia mpenzi wako lazma ajue kua unampenda kwa dhati,

[2014-07-02 13:01] salhat :

hii sms no nzur mnooooo

[2014-08-31 18:52] shabani :

ni tam san
sms

[2014-09-07 11:56] Baraka R. Ngondo :

Ujumbe nimeupenda sana. Pia naomba aomgeze msg zingne ili 2zidi kufurahia

[2014-11-18 10:16] gustaph :

nimeipenda xana sms hii natalaj nitafutie mpnz

[2015-02-19 10:21] alphonce :

Nmeipenda

[2015-07-23 00:06] magoti patrick :

kiukweli dhuri sana tena sana maana zina2ngezea maarifa mengi

[2015-07-24 11:11] machapatize :

nmezpenda sana

[2016-03-07 14:28] Layzer :

Cms Nimeikubali Kiukweli Imesimam Vzr

[2016-03-13 10:13] sefania :

kwakwel nampa hongera kwa utunzi bora wa sms za mapnz

[2017-12-01 11:04] farias fazili :

napenda sana sms ni bora


UNDER MAINTENANCE
Add site toplist
STATISTICS RECORD
Online: 1
Taifa: United States
Daily: 5 Weekly: 12 Monthly: 159 Total: 567134
Created by: Anthony Yose™
Copyright © 1922 -
All Rights Reserved
Mwanza, Tanzania